MWALIMU OPEN SCHOOL CENTER
0755 680 878
0713 025 340
www.facebook.com/GeofreyNgunya
http://ngunya.blogspot.com/
http://ngunya.blogspot.com/
Tunawakaribisha wahitimu wote wa darasa la saba kwenye masomo ya
PRE-FORM ONE yatakayo anza tarehe 14/09/2015 kwa miezi mitatu (3) mpaka tarehe 19/12/2015.
kwa masomo ya kiingereza, Kiswahili, Hisabati na masomo ya sayansi kwa vitendo.
(1)Peni.
(2)Daftari.
(3)Kutalii maeneo mbalimbali kwa ajili ya kujifunza zaidi kwa vitendo ndani na nje ya Manispaa ya Morogoro.
(4)T - shirt moja sare ya shule.
NB;Wahi kuchukua fomu mapema nafasi ni chache tunahitaji wanafunzi 50 tunapatikana Morogoro mjini maeneo ya Oilcom nane nane tunatazamana na ALFAGEMS sekondari school au piga simu zetu zilizopo hapo juu.
WOTE MNAKARIBISHWA



wahi nafasi ni chache
JibuFuta