Mkuu wa idara ya ulinzi wa angani nchini humo alisema kuwa kulikuwa na mvua kubwa wakati ajali hiyo ilipotokea na upepo ulikuwa ukivuma kwa takriban kilomita 83 kwa saa.
Msikiti huo unazunguka eneo takatifu la kiislamu la Kaaba na ndio msikiti mkubwa zaidi duniani na huwavutia mamia ya waislamu ambao huenda kuhiji kila mwaka.
Karibu watu milioni moja wamewasili nchini Saudi Arabia kabla ya sherehe za mwaka huu ambazo zinaanza wiki mbili zinazokuja.
kreni
iliyokuwa ikitumika kwa ujenzi kuanguka kwa msikiti mkubwa mjini Mecca
ambapo watu 107

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni